Vuélvete ilimitado con Magzter GOLD

Vuélvete ilimitado con Magzter GOLD

Obtenga acceso ilimitado a más de 9000 revistas, periódicos e historias Premium por solo

$149.99
 
$74.99/Año

Intentar ORO - Gratis

JIWAZISHE - Todos los números

Hili ni Jarida litakalokupatia kwa mukhtasari tu yale ambayo wabobezi washauri wa masuala mbalimbali ya kisaikolojia, kiuchumi, kimahusiano watakuwa wanakupakulia kwa ajili ya kulisha ubongo na moyo wako chakula stahiki kisichoogofya wala kufisha bali chenye kuhuisha maarifa yako kuelekea hatima yako ambayo Mungu aliikusudia tangu awali. JIWAZISHE ni Jarida la familia nzima linakusudi la kurejesha kile kilichopotea kwa muda mrefu kwa kushuhudia, kutenda, kusikia ama kuwaza na hatimaye kuufanya ubongo wako kuwa njia panda ama kupotea kabisa na kuufanya moyo wako kuwa mgumu hata ukatenda mambo ya hovyo, ya ajabu na yasiyotarajiwa na jamii inayokuzunguka.