試す 金 - 無料
JIWAZISHE - February 2020
いつでもキャンセルできます。
(義務なし) ⓘ定期購読にご満足いただけない場合は、定期購読開始日から 7 日以内に help@magzter.com までメールをお送りいただければ、全額返金いたします。質問は一切ありません。お約束します! (注: 単号購入には適用されません)
デジタルサブスクリプション
即時アクセス ⓘ今すぐ購読すると、Magzter の Web サイト、iOS、Android、Amazon アプリですぐに読み始めることができます。
この号では
Hili ni Jarida litakalokupatia kwa mukhtasari tu yale ambayo wabobezi washauri wa masuala mbalimbali ya kisaikolojia, kiuchumi, kimahusiano watakuwa wanakupakulia kwa ajili ya kulisha ubongo na moyo wako chakula stahiki kisichoogofya wala kufisha bali chenye kuhuisha maarifa yako kuelekea hatima yako ambayo Mungu aliikusudia tangu awali.
JIWAZISHE ni jarida la familia nzima linakusudi la kurejesha kile kilichopotea kwa muda mrefu kwa kushuhudia, kutenda, kusikia ama kuwaza na hatimaye kuufanya ubongo wako kuwa njia panda ama kupotea kabisa na kuufanya moyo wako kuwa mgumu hata ukatenda mambo ya hovyo, ya ajabu na yasiyotarajiwa na jamii inayokuzunguka.
JIWAZISHE Description:
Hili ni Jarida litakalokupatia kwa mukhtasari tu yale ambayo wabobezi washauri wa masuala mbalimbali ya kisaikolojia, kiuchumi, kimahusiano watakuwa wanakupakulia kwa ajili ya kulisha ubongo na moyo wako chakula stahiki kisichoogofya wala kufisha bali chenye kuhuisha maarifa yako kuelekea hatima yako ambayo Mungu aliikusudia tangu awali.
JIWAZISHE ni Jarida la familia nzima linakusudi la kurejesha kile kilichopotea kwa muda mrefu kwa kushuhudia, kutenda, kusikia ama kuwaza na hatimaye kuufanya ubongo wako kuwa njia panda ama kupotea kabisa na kuufanya moyo wako kuwa mgumu hata ukatenda mambo ya hovyo, ya ajabu na yasiyotarajiwa na jamii inayokuzunguka.